List/Grid Picha za Vichekesho Subscribe RSS feed of category Picha za Vichekesho

{Vichekesho} Jamaa kanyimwa chakula msibani

:.VITUKO VYA USWAZI.: Jamaa alinyimwa CHAKULA msibani,, kwa hasira akaaga akisemaaa…. “HAMNA NOMA… NA MIE NITAFIWA TU” MUNGU… yupoo..!

{Vichekesho} Mahakamani

Mahakamani. Hakimu:ndugu mshtakiwa kwa nini umempiga na kumjeruhi mkeo na sturi? Mume:kwa kuwa nilishindwa kuinua meza na kumpiga nayo.

{Vichekesho} Tunataka kuongea na wewe

POLISI:::Hodi Hodi Hodi, JAMAA:::Kimya, POLISI:::HODI×3, JAMAA:::Wewe ni nani? POLISI:::Sisi Polisi, JAMAA:::Mnataka nini? POLISI:::Kuongea na wewe, JAMAA:::Kuongea na mimi! POLISI:::Ndiyo, JAMAA:::Mko wangapi? POLICE:::Tuko ...

{Vichekesho} Wajenzi watatu

Wajenzi watatu baada ya kazi ngumu waliamua kwenda pwani kwa kuwa hawajawahi kwenda toka wazaliwe.walipofika wakaanza kushangaa. Mjenzi1: he! mbona kuna mchanga mwingi? Mjenzi2: he! ...
Thumbnail for 3529

{Vichekesho} Pozi la kustei

 

{Vichekesho} Kichaa mmoja kapiga simu hospitalini

Kichaa mmoja kapiga cm hospitalini KICHAA:halooo samahani eti chumba namba 17 kina mtu NESI MAPOKEZI:subiri nikaangalie KICHAA:pouwaaaaaaa NESI MAPOKEZI:nimekwenda kuangalia hakuna ...
Thumbnail for 703

Wazo la leo 15-10-2014

1) Mwanaume ni kutulia na mmoja, kuruka ruka ziachie popcorn. 2) Mwamke ni kutabasamu muda wote, kulia lia ziachie kengele.
Thumbnail for 701

Wazo la leo 14-10-2014

Unamtaka mume mwenye Range Rover wakati baba yako ana baskeli, kwa nini usiwe mpole kama mama yako?
vichekesho

{Vichekesho} kazi na dawa

kazi na dawa       
vichekesho

{Vichekesho} Kazi ya jeshi

Mambo ya kuzingatia katika picha hii Ukimuona kijana amerudi ni wajibu kumuheshimu. Ukitaka kwenda jeshi omba ushauri kwa wanajeshi waliotoka jeshini hivi karibuni Ukiona maisha magumu ...
© 2014 Cheka Vichekesho. All rights reserved.