What's New Here?

Thumbnail for 3516

mnamuonaaa nani anaweza kama huyu

mnamuonaaa nani anaweza kama huyu  
Vichekesho

{Picha za Vichekesho}Mabadiliko ya binadamu

{Vichekesho} Kichaa kapiga simu hospitalini

Kichaa mmoja kapiga cm hospitalini KICHAA:halooo samahani eti chumba namba 17 kina mtu NESI MAPOKEZI:subiri nikaangalie KICHAA:pouwaaaaaaa NESI MAPOKEZI:nimekwenda kuangalia hakuna ...

{Vichekesho} Mmachinga na Mchina

Kuna mmachinga mmoja likuwa akimnyima raha mchina mmoja maeneo ya Kariakoo,jamaa kila akifika kwenye hotel hiyo ya mchina huwa anamuongelea ovyo tu mvimba macho huyo. Mmachinga: nyie ...

{Vichekesho} Nchi iliyokaribu zaidi na USA

Mwalimu: Nitajieni nchi iliyokaribu zaidi na USA Mwanafunzi: Nchi iliyo karibu zaidi na USA itakuwa ni USB

{Vichekesho} Itabidi nijenge mito kwanza

katika harakati za kuomba kura ili achaguliwe na kuwa mbunge wa Mafia 2015,Juma alianza kwa kusema. Juma:mkinichagua nitahakikisha najenga shule nyingi,barabara ya lami kutoka Kilindoni ...

{Vichekesho} Kabla yangu mimi ulikuwa na mabwana wangapi?

Wapenzi wakiwa katika harakati ya kula chakula cha usiku, jamaa akapata swali hili; Bwana: honey hivi kabla yangu ulikuwa na wanaume wangapi? Demu: kimya.. jamaa akauliza mara ya pili, Demu: ...

{Vichekesho} Sisimizi kipofu, samaki mwenye mimba, jogoo yatima

Mvuta bangi kaenda kwa mganga kamwambia nimerogwa, Mganga akamwambia niletee sisimizi kipofu,Samaki mwenye mimba na jogoo yatima, Mvuta bangi akamjibu unaonaje nikikuletea na kenge ...

{Vichekesho} Swali la leo

Demu wako kaenda kukutambulisha kwao kufika getini unakutana na dada yake ambaye ni demu wako wa zamani kidogo unamwona kaka yake ambaye ulipigana nae kwasababu alikufumania na demu ...

{Vichekesho} Kila nikiitupa chooni hiyo bandi inarudi mfukoni

Dogo kakamatwa na polisi akiwa na bangi mfukoni; POLISI: Kijana unatembea na bangi, hii ni jinai DOGO: Afande mi naona nimelogwa tu, hiyo bangi kila nikiitupa chooni unakuta imerudi ...
© 2015 Cheka Vichekesho. All rights reserved.